Leviticus 26:13

13 aMimi ndimi Bwana Mwenyezi Mungu wenu, niliyewatoa katika nchi ya Misri ili msiendelee kuwa watumwa wa Wamisri, nikavunja kongwa lenu, na kuwawezesha kutembea mkiwa mmeinua vichwa vyenu juu.

Adhabu Ya Kutokutii

(Kumbukumbu 28:15-68)

Copyright information for SwhKC